manyaki-1.jpg ...      ...

RAIS JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA MABALOZI WA NCHI NNE LEO IKULU

Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mh john pombe magufuli leo amepokea hati za utambulisho wa mabalozi wa nchi 4 watao kuwa hapa nchi,ambao ni balozi toka  jamhuri ya Sudan,slovakia ghnana pamoja na ukrane.




Previous
Next Post »