manyaki-1.jpg ...      ...

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI TEGETA WAANDAMANA

Mwanafunzi wa shule ya sekondali ya Tegeta secondary school iliyopo tegeta dar wameandamana kwenda kwa mkuu wa shule hiyo kwa madai ya kuwa walimu wao awajawafundisha tangu mwezi wa kwanza mpk sasa.
Endelea kuwa karibuni nasi tutaendelea kukujuza kinachoendelea.

Previous
Next Post »