manyaki-1.jpg ...      ...

KAMANDA SIRRO AMJIBU PAUL MAKONDA KWA VITENDO


Jeshi la polisi kanda maalumu ya dar-es-salaam mapema Jana ilifanikiwa kuwatia nguvuni wahusika watatu toka kinondoni Kwa tuhuma za kuuza na matumizi ya shisha.
Akifafanua mbele ya waandishi Wa habari mkuu Wa kikosi maalumu kamanda sirro alisema kuwa wameweza fanikiwa kwa urahisi kuwakamata watu hao kwa kusaidia na mkuu Wa jeshi la polisi MKOA Wa kipolisi kinondoni.
Amesema amefrahi sana kuwakamata watu hao wakiwa na vithibithisho vyao yani shisha.
Amesema pia kamanda sirro kuwa watuhumiwa hao watafikishwa katika mahakama husika Mara baada ya uchunguzi na upelelezi kukamilika.
Ikumbukwe kuwa watuhumiwa hawa wamekatwa baada ya siku kadhaa zilizopita ambapo mkuu Wa mkoa Wa Dar Paul makonda kusema kikosi kinachoongozwa na kamanda Sirro kinanufaika na watu hao ndiyo maana wanakanusha kuwa hakuna wauzaji Wa shisha ingali ukweli wamejazana mtaani.alisema kauli hiyo makonda mbele ya waziri mkuu kassimu majaliwa ambao waziri mkuu alikuwa akizindua miradi ya maendeleo ya wananchi Wa MKOA Wa Dar.
Kauli au kitendo cha kamanda sirro kinatasfiriwa kama ni kitendo cha kuwa yeye hanufaiki na wauza shisha ndiyo maana amezidi kuwatia nguvuni.
Previous
Next Post »