Mtalaamu wa elimu ya mlipa kodi toka TRA Richard kayombo akizungumza na waandishi Wa habari.
Lkn awamu hii TRA Kwa kushirikiana na Ubalozi Wa watu Wa China nchini wamendaa semina hiyo ambayo inatarijwa kufanyika katika viwanja vya Bank Of Tanzania Nov 25,2016.
Semina hiyo inatarajiwa kuwapa elimu wawezekezaji waishio nchini na waleta bidhaa mbalimbali nchini toka nchini China.jinsi ya kulipa kodi sahihi.
Na mfumuko Wa bajeti Wa mwaka Wa fedha 2016/17.
Washiriki Wa semina hiyo nao wamepongeza harakati hizo kuwa zitawasaidia sana katika shughuli zao na serikaili ya Tanzania na kuiunga mkono Sera ya rais magufuli ya kulipa kodi kwa njia mbalimbali.
Washiriki hao nje ya elimu watakayo pata ya kulipa kodi pia watauliza maswali juu ya utata na kero zao.na watalaamu toka TRA wenye dhamana hiyo watawajibu kwa ufasahaa.