manyaki-1.jpg ...      ...

KISA CHA DIAMOND KUTOKUWEPO KATIKA TUZO ZA EATV NA KIBA KUPENYA


Watu mbalimbali wamekuwa wakijiuliza kwa kila mara kisa cha Diamond msanii mkubwa toka Hapa Nyumbani kutokuwepo katika tuzo hizi ambazo kwa mara ya kwanza zinafanyika chini ya Usimamizi wa Basata,Vodacom na East Afrika entertainements yenyewe.na kuwapa wasanii fursa ya wasanii kujipendekeza wenyewe katika vipengele wanavyoona vinawafaa kuwania.
msemaji wa tuzo hizo alisema itakuwa vigumu kwa msanii kupitishwa kuwania tuzo hizo kama hakutoa nyimbo tangu mwaka jana mwezi wa saba hadi wa sita mwaka huu,na kama wewe mwenyewe ujajipendekeza na kutokujpeleka basata kujisajili wao awawezi kukuweka katika kinyanganyiro chochote kile.

na kuna wasanii wengine waliomba kushiriki lakini walitolewa kwa kuwa hawakuwa na vigezo.ivyo ukiona msanii wako hayupo jua hizo sababu zina muhusu hapo juu.
huku team Diamond ikiwa haina muwakilishi kwa kiba kafikiwa kupenya katikanafasi mbili yani Kipengele cha wimbo bora wa mwaka, na nyimbo zilizofanikiwa kuingia ni kama ifuatavyo:
Don't Bother - Joh Makini 
NdiNdiNdi - Lady Jayde
Kamatia chini - Navy Kenzo 
Aje - Alikiba 
Moyo Mashine - Ben Pol 
na msanii bora wa mwaka akiwa na akina
Alikiba-ajee
sheta-namjua
navy kenzo-kamatia
mwanafa-asanteni kwa kuja
ben pol-moyo mashine.

Video bora ya mwaka
kiba-ajee
sheta-namjua
john  makini-dont bother
jay dee-ndindindi

tuzo hizo zinatarajiwa kufika ukomo wake 10/12/2016 lakini wananchi watawapigia kura mpk tarehe 8/12/2016.
Previous
Next Post »