Jumapili hii ya November 20 ulifanyika utoaji wa American Music Awards 2016 (AMAS) zilizohudhuriwa na ma staa mbalimbali akiwemo Dj Khaled, Nicki Minaj, Tinashe, Drake na wengine.
Mke wa John Legend, Chrissy Teigen aliamua kuhudhuria red carpet ya tuzo za AMAs akiwa bila nguo ya ndani (kufuli).