manyaki-1.jpg ...      ...

TAZAMA NYUMBA ATAKAYOENDA KUISHI OBAMA BAADA YA KUTOKA MADARAKANI.

Baada ya kumaliza Rais wa sasa wa marekani baraka obama ataendelea kuishi washington Dc kwa kile kinachoelezwa kuwa kutokana na Binti wa obama Sasha kuwa bado mwanafunzi sehemu hiyo.

Mjengo huo ambao atakwenda kuishi Barack Obama pamoja na familia yake, unatajwa kuwa maili mbili kutoka na Ikulu ya Marekani “White House” huko washington DC.
Nyumba hiyo imetajwa bei yake kuwa ni £4million na ilikuwa ikimilikiwa na Joe Lockhart mfanyakazi wa White House.



Previous
Next Post »