manyaki-1.jpg ...      ...

UMESIKIA ALICHOKISEMA KIBA BAADA YA KUTANGAZWA KUWA YEYE NDIYE MSINDI HALALI WA TUZO ZA MTV 2016

Imetangazwa rasmi na waandaaji wa tuzo hizo za MTV EMA kuwa Alikiba ndiye mshindi halali wa tuzo ya MTV EMA category ya Best African Act.
Kupitia kurasa yake ya instagram Alikiba ameamua kuchukua nafasi ya kuwashukura watu wake wa karibu pamoja na mashabiki zake kwa sapoti ambayo wanampa hadi kuhakikisha ameipata tuzo hiyo.
Previous
Next Post »