GWAJIMA ASHTAKIWA RASMI MAHAKAMANI KWA MASHITAKA ZAIDI YA MOJA.
HABARI KAMILI.
Askofu wa kanisa la ufufo na uzima Gwajima amepandishwa kizimbani katika mahakama ya kisutu kutokana na makosa mawili.
1.KUMILIKI SILAHA KINYUME CHA SHERIA
2.KUTOKA LUGHA YA MATUSI DIDHI YA PENGO
kesi hiyo iliendeshwa na wakili wa serikali bwana maugo.
Pia mh gwajima ameshtakiwa na wenzake wawili,
washitakiwa wote wako nje kwa dhamana mpk kesi yao itakaposikilizwa tena mwezi wa tano tarehe 4.
GWAJIMA ASHTAKIWA RASMI MAHAKAMANI: