manyaki-1.jpg ...      ...

KUTOKANA NA TISHIO LA UGAIDI KATIKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

KUTOKANA NA TISHIO LA UGAIDI KATIKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
NCHINI TANZANIA MKOA WA DODOMA SERIKALI YAWAKAMATA WATOTO TAKRIBANI 115 AMBAO WALIKUWA WANAPEWA MAFUNZO YA KISLAMU KATIKA VITUO AMBAVYO AVIJASALIWA RASMI NA SERIKALI.
VITUO IVYO VINAPATIKANA NKUHUNGU KATIKA MANISPAA YA DODOMA.MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI MH BETTY MKWASA NA KAMANDA WA POLISI MKOANI DODOMA WAMETHIBITHISHA HALI HIYO KATIKA VITUP HIVYO NA KUTOA TAMKO KUWA SERIKALI HAITAFUMBIA MAMBO SWALA HILO NA KUWAOMBA WANANCHI KUTOA TAARIFA PALE WANAPOONA KUNA UTATA KATIKA MAENEO YAO.


Previous
Next Post »