manyaki-1.jpg ...      ...

UCHAGUZI MKUU UKO PALE PALE OKTOBA, 2015 - NEC



Tume ya Taifa ya Uchaguzi yasema haitaahirisha uchaguzi mkuu kwa madai ya kutokamilika kwa uandikishaji wapiga kura, yatangaza mkakati utakaoiwezesha kukamilisha zoezi hilo kabla ya mwezi Oktoba mwaka huu. Tazama HOT MIX sasa ujue tume imejipangaje katika hilo?
Toa maoni yako kuhusiana na hilo.

Previous
Next Post »