Wildaid
ni Shirika linalojihusisha na uhifadhi wa wanyamapori, katika kampeni
yao inayoendelea ambapo Wildaid inashirikiana na serikali katika
kutokomeza ujangili hasa wa Tembo.
Ali Kiba na Jackline Mengi ni miongoni mwa wasanii waliopata shavu la kuwa balozi wa Wildaid , Lengo la Shirika hili kushirikiana na Serikali ni kuongeza ufahamu na kuelimisha jamii kuhusu tatizo sugu la ujangili linaloikabili Tanzania.
Kampeni hii inatarajiwa kuongeza mwamko wa Taasisi za kiraia katika kulinda Tembo na wanyama wengine.