Mbunge wa Monduli ambaye aliwahi kuwa Waziri mkuu wa Tanzania Edward
Lowassa amaeahirisha kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya chama
cha Mapinduzi hadi siku ya leo ambayo ni alhamisi.
Hadi sasa mwanasiasa aliyefungua dimba la kuchukua fomu ya urais ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya pamoja na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen Wassira.