manyaki-1.jpg ...      ...

JESHI LA POLISI MKOA MARA LAMKAMATA KIJANA JOEL ROBERT MKAZI WA KITERERE WILAYA YA TARIME KWA TUHUMA ZA UTAPELI WA WAKILI WA KUJITEGEMEA

Jeshi la polisi mkoani mara wakishirikiana na polisi kanda maalumu ya Tarime/Rorya wamekamata kijana mmoja ajulikanaye kama JOEL ROBERT Maarufu kama wakili OUMA NYAROKO kama wakazi wengi wa kijiji chao cha Kiterere wanavyomjua,kijana huyo anashikiliwa na polisi kwa tuuma za kutapeli watu mbalimbali ya tanzania ikiwemo na msoma akijifanya yeye ni wakili wa kujitegemea.
vyanzo vyetu vinasema baada ya kuanza kutafutwa sehemu mbalimbali ndipo akaamua kukimbia na kwenda kujificha kijiji cha kiterere ambapo ndiyo nyumba kwao alipozaliwa na kukulia huko,
kitaaluma kijana huyo inasema sio mwanasheria wala ajawai kusoma masomo ya sheria.
kijana Ouma nyaroko alikamatwa na polisi wakiongozwa na RPC wa mkoa mara mapema Jana kijijini Kwao Kiterere.
                                 KIJANA OUMA NYAKOROKO AU WAKILI JOEL ROBERT

Previous
Next Post »