King of Bongofleva and KTM Awards 2015/16 Ally Salehe Kiba mapema leo amezulu nchini Afrika kusini akiwa na Barraka the prince na meneja wake aidan pamoja na kiongozi wake wa lebo ya Rocka4000 Steven Mosha kuwania tunzo za mtv kama best collaboration song aliyoshirishwa na Na sauti soul unconditional bae,
nje na kushiriki pia ally kiba atakuwa ni mmoja kati wasanii wanatazamiwa kutumbuiza mapema jumamosi 22 october 2016 katika jiji la johanesburg nchini africa kusini katika tunzo za MTV.
Pia tunzo hizo zitamshirikisha na kijana toka wasafi RAYMOND na Nyimbo yake kwetu kama msanii bora anayechipukia,,
tunakuletea picha za mwanzo kabisa endelea kufatilia.