manyaki-1.jpg ...      ...

KANDA YA ZIWA YAONGOZA MATOKEO YA DARASA LA SABA KWEMA PRIMARY SCHOOL TOKA SHINYANGA YAWABEBA

Serikali mapema leo kupitia wizara na baraza lenye dhamana ya kutangaza matokeo nchini tanzania Baraza la mtihani tanzania limeyatangaza matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2016/17 tanzania nzima.
ambapo shule ya msingi kwema iliyopo mjini shinyanga imeongoza huku serikali ikisema ufaulu pia umeongozeka kwa asilia 2.52.
ikumbukwe kuwa matokeo haya mtihani wake ulifanyika september 7 na 8.

Previous
Next Post »