- 1926: Azaliwa mkoa wa kaskazini mashariki wa Oriente nchiniCuba
- 1953: Afungwa jela baada ya kuongoza maasi ambayo hayakufanikiwa dhidi ya utawala wa Batista
- 1955: Aachiliwa huru kutoka jela chini ya mkataba wa msamaha
- 1956: Akiwa na Che Guevara, aanza vita vya kuvizia dhidi ya serikali
- 1959: Amshinda Batista, na kuapishwa waziri mkuu wa Cuba
- 1961: Awashinda wapiganaji waliofadhiliwa na CIA waliovamia Bay of Pigs
- 1962: Atifua mzozo wa makombora wa Cuba kwa kukubali USSR iweke makombora Cuba
- 1976: Achaguliwa rais na bunge la Cuba
- 1992: Aafikiana na Marekani kuhusu wakimbizi wa Cuba
- 2008: Ang'atuka madarakani kwa sababu za kiafya