Hofu na hamu ya kuangalia mpira umewapelekea mashabiki wawili wa club ya man kujificha chooni usiku wa mechi kati ya man u na arsenal
Mashabiki hao wawili walionekana kuzunguka uwanja Mara kadhaa kabla ya kwenda kujificha chooni.
Mashabiki hao walionekana siku ya Jumamosi alfajiri wakati wa ukaguzi wa kiusalama kabla ya kukabidhiwa maafisa wa polisi ambao waliamua kutowakamata.
United imesema kuwa hakukuwa na tishio lolote la mashabiki walioingia katika uwanja huo kushabikia mechi hiyo.
Mashabiki hao walifanyiwa ukaguzi wa kisalama kabla ya kuingia katika uwanja huo kabla ya kuanza ziara yao uwanja huo.