manyaki-1.jpg ...      ...

NILISHIRIKI KUANDIKA NYIMBO YA NASEMA NAWE YA DIAMOND PLATINUMZ KWA KIWANGO KIKUBWA SANA-OMMY DIMPOZ



                                                                                  OMMY DIMPOZ
Msanii ambaye saivi anatamba na ngoma ya kajiandae aliyoimba na Ali salehe kiba,OMMY DIMPOZ katika mahojiano yake ndani ya XXL amefunguka na kujibu mamabo kadhaa baina yake na swahiba wake Wa siku nyingi rais Wa wcb diamond platinumz ambaye siku za hivi karibuni kumeibuka ugomvi Wa chinichini kupitia mitandao ya kijamii tu bila wao kusema chochote.
Lakini mapema Jana DIAMOND PLATINUMZ aliamua kutoa kila kitu kuhusu ugomvi wake akihusishwa pia ALIKIBA.

                                                          Ommy na mondi kipindi cha nyuma.
Mondi alidai kuwa Mara kibao OMMY alishamtafuta kwa lengo LA kumalizana lkn yeye akuwa tayari.
Kwa upande wake OMMY amesema yeye anamjua diamond siku nyingi na hata wimbo wa nasema nawe ameshiriki kuandika mashairi.pia diamond asimchukie kwa kudhani kuwa alitembea na wema sepetu,yeye atazidi kumueshimu na pia amesema hayuko tayari kumaliza ugomvi kwani anaona ni njia pia ya kupata pesa.
Huku ommy akisema yeye anajua ogomvi Wa ALIKIBA na diamond ulitokana baada ya diamond kutoa Sauti ya kiba kwenye wimbo wake.
Hizi ni baadhi ya picha ambazo zilimfanya diamond amshutumu ommy kutembea na wema sepetu.





BOFYA HAPA CHINI KUICHEKI FULL INTERVIEW YA OMMY DIMPOZ LEO

VIDEO: Tazama Alikiba na Ommy Dimpozwalivyoulizana maswali kwenye hii video hapa chini


Previous
Next Post »