Msanii na Girlfriend wa Juma Jux na anayetamba na ngoma ya dume suruali aliyoshirikishwa na mwanafa Vanessa Mdee amesema mwakani ana mambo makubwa sana ya kufanya kwani mbali na kuja na kazi zake mpya,pia anatarajia kutoa Filamu na Tv Series yake.
Vanessa Mdee alisema hayo jana wakati akihojiwa kwenye kipindi cha Papo kwa Papo na Papi kinachoruka Live kupitia mtandao wa Youtube na kuwa hakikishia mashabiki zake wategemee makubwa kutoka kwake ndani 2017
“Mwakani natarajia kutoa Filamu na Tv Series yangu nawaomba mniunge mkono na yapo mengi ila sitaki kuongelea kwa sasa''V.Money
Kutazama interview hiyo bofya hapo chini.