manyaki-1.jpg ...      ...

SAMWEL SITTA NDIYO MWANASIASA PEKEE ALIYEPEWA ESHIMA TANGU SIASA ZA TANZANIA ZIANZE.

Mbunge wa urambo,waziri wa uchukuzi,waziri wa Afrika mashariki,na Spika wa Tisa wa Bunge la Jamhuri wa muungano wa tanzania ndugu samwel sitta aliyefariki usiku wa kuamkia tarehe saba mwezi huu.
inasemekana ndiye mbunge na kiongozi aliyeishi ndani ya maadili na ndiye kiongozi aliyezikwa kwa eshima kubwa sana hasa baaada ya mwili wake kupelekwa bungeni na kuagwa na wabunge wote wa vyama vyote vya siasa nchini.
hii haijawahi tokea tangu historia ya nchi ianze.
Kama ujui:
marehemu samwel sitta katika kipindi chake bungeni akiwa kama spika wa bunge ndiye muhasisi wa maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu.
na mawaziri kujieleza mbele ya wabunge pia ndiyo muhasisi na mwenyekiti wa mabadiliko ya katiba mpya.
NIMEKUWEKEA HAPA PICHA ZA MATUKIO YA KUAGA MWILI WAKE:
 VIWANJA VYA KARIMJEE:
viongozi wa serikali zote tano wajitokeza wa wakazi wa jiji la dar kuaga mwili wa samwel Sitta matukio katika picha.










BUNGENI DODOMA.








Previous
Next Post »