manyaki-1.jpg ...      ...

MBIO ZA UCHAGUZI MKUU ZA SIASA ZA BONGO:WEMA WANIA UBUNGE SINGIDA MSIMU HUU

STAA wa filamu nchini ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ametangaza nia ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM mkoani Singida.
Wema tayari ametua mkoani Singida akiambatana na mama yake kwa ajili ya zoezi hilo ambapo amepokelewa kwa shangwe na mashabiki wake.

Previous
Next Post »