manyaki-1.jpg ...      ...
Loading...

RAIS MAGUFULI AOGOPI VITISHO:MZEE YUSUPH MAKAMBA

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam  Mzee Yusufu  Makamba asema Rais Magu...
Read More

HABARI KUU ZILIZOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI DEC 3,2016

HABARI KUU. 1.Ziara ya Rais magufuli katika gereza LA ukonga laondoka na kigogo. Habari hii imeandikwa imechapishwa katika kurasa za mag...
Read More

Salama jabir host Wa tamasha LA East Africa Awards (EATVWARDS 2016)

Mtangazaji machachari aliyejizolea umaarufu katika kipindi cha planet bongo miaka ile na badae mkasi,na ambaye anarusha kipindi cha ngazi ...
Read More

Serikali ya marekani yawakabidhi Kenya helkopta 6 kama ishara ya kupambana na magaidi.

Serikali ya Marekani, imetoa helikopta sita kwa serikali ya Kenya kusaidia katika vita vya kupambana na kundi la kigaidi la Al-Shabaab. ...
Read More

BAADA YA STORY KUZAGAA KUWA KABAKWA NISHA AMTAJA BABA WA MTOTO WAKE

Msanii Wa bongo movie 'Nisha'anayetamba na movie yake ya BossBaby,pia ambaye ni mama kijacho ameamua kumtaja baba Wa mtoto wake. ...
Read More

Magazeti ya December 3,2016

Nimekuwekea hapa magazeti yote ya December 3 2016,kuanzia habari za siasa,michezo na burudani bila kusahau habari za mastar na maisha yao. ...
Read More

CHAMA CHA UPINZANI CHASHINDA UCHAGUZI MKUU NCHINI GAMBIA

Mkuu wa tume ya uchaguzi nchini Gambia amemtangaza mgombea wa upinzani Adama Barrow, kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais wa mwaka 2016. A...
Read More

Rais magufuli akubali ombi LA kusitisha mikataba ya kustaafu ya kamishina Wa magereza CGP JOHN MINJA

Read More

KISA CHA MBUNGE GODBLESS LEMA KUNYIMWA DHAMANA NA KUENDELEA KUSOTA RUMANDE CHABAINIKA

MBUNGE WA ARUSHA MJINI  GODBLESS LEMA AMEENDELEA KUWEKWA KUZUIZI BAADA YA MAHAKAMA YA KANDA MAALUMU YA ARUSHA KUDAI KUWA MAWAKILI WA MBU...
Read More

SERIKALI YA CHINA WAANZA KUTENGENEZA MELI YENYE MUONEKANO KAMA TITANIC

Meli ya Titanic iliyojengwa na Harland na Wolff huko Belfast, iligonga mwamba wa barafu na kuzama Kaskazini mwa Atlantic mwaka 1912 na ...
Read More