Leo ndio ilikuwa siku ya utoaji wa tuzo za
MTV nchini South Afrika ambapo Tanzania tulikuwa tunawakilishwa na
Diamond Platnumz pamoja na Vanessa Mdee, Diamond Platnumz amefanikiwa
kuondoka na Tuzo moja ya Best Live Act. Hapa kuna picha za wasanii
mbalimbali wakiwa Red Carpet.
Diamond Platnumz akiwa kwenye Red Carpet
Vanessa Mdee
Host wa Show Antony Anderson
Miss jheneaiko
Ne-yo
AKA
Khulichana