Kama utakuwa karibu na kurasa ya Instagram ya mwanadada Amber Rose basi utakuwa umekutana na posti yake siku ya jumatatu tarehe 28, ambayo amefunguka kuwa atakuwa nje ya mitandao ya kijamii kwa mwaka huu wa 2016 ambao unaenda mwishoni, ila usiwe na hofu assistant wake atakuwa anaendelea na ishu nzima ya kuposti kila kinachoendelea ila fahamu kwamba Posti zote hazitakuwa ni za muda.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)