Rapper Lil Wayne ameamua kuweka wazi kwa mashabiki wake wakae mkao wa kula kwa kuwaletea mzigo mpya wa ngoma ya “Funeral”, wakati Carter 5 ikiwa bado imezuiliwa na label ya Cash Money.
Kupitia kipindi cha “The Nine Club” na mtangazaji Chris Roberts, Lil wayne alifunguka kuhusu ujio wa ngoma yake hiyo mpya kwa mashabiki wake.